Yanga kuanza makundi dhidi ya AS FAR

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2025
Yanga kuanza makundi dhidi ya AS FAR

Ni rasmi safari ya kuisaka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa 2025/26 inaanza mwishoni mwa mwezi huu ambapo mabingwa wa Tanzania Bara Yanga ambao wako kundi B, wataanzia kampeni yao nyumbani.

Katika droo ya hatua ya makundi iliyofanyika Afrika Kusini jana, Yanga ilipangwa kundi B sambamba na mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo Al Ahly wakiungana na AS FAR na JS Kabylie.

Haitakuwa kampeni rahisi kwa Wananchi dhidi ya timu kutoka Kaskazini mwa Afrika lakini hii ni ligi ya mabingwa, hakuna mnyonge.

Mchezo wa kwanza Yanga itaanza dhidi ya AS FAR Novemba 21-23 uwanja wa Benjamin Mkapa na baadae Wananchi kusafiri Algeria kuikabili JS Kabylie kati ya Novemba 28-30.

Ni mechi mbili tu za makundi ambazo zitapigwa mwaka huu kabla ya michuano hiyo kusimama kupisha kalenda za FIFA na CAF ambapo mechi nyingine zitaendelea baada ya Januari 2025.

Ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutinga robo fainali, Yanga ni lazima ihakikishe alama zote 9 za nyumbani zinabaki na kwenda kutafuta angalau alama 3 ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’