Yanga yahitaji ushindi dhidi ya Azam FC kumaliza nafasi ya pili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2018
Yanga yahitaji ushindi dhidi ya Azam FC kumaliza nafasi ya pili
Ili iweze kumaliza kwenye nafasi ya pili, Yanga inahitaji kuibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa mwisho dhidi ya Azam FC Jumatatu, May 28.

Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Ruvu Shooting leo, ushindi dhidi ya Azam FC utaifanya iifikishe alama 55 sawa na wana rambaramba hao lakini Yanga itanufaika na idadi yake kubwa ya mabao.

Hata kama Yanga ingepata ushindi dhidi ya Ruvu Shooting leo, bado ingehitaji kushinda mchezo dhidi ya Azam ili kumaliza nafasi ya pili.

Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa ukitarajiwa kuanza saa mbili kamili usiku.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’