Yanga Princess yaifumua Mashujaa Queens 3-0, Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2025
Yanga Princess yaifumua Mashujaa Queens 3-0, Ngao ya Jamii

Yanga Princess imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Mashujaa Queens mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex mchana wa leo

Unaweza kusema kikosi cha Yanga Princess kinachonolewa na kocha Edna Lema sasa kimeiva kwani walikuwa bora zaidi

Jeaninne Mukandayisenga ameendeleza kasi yake ya kufunga leo akifunga bao la kwanza la Yanga Princess kabla ya Precious Christopher na Aregosh Kalsa kuongeza mengine mawili

Hii ni kama 'warm-up' kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake 2025/26 na bila shaka Yanga Princess iko tayari kuwania ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’