Baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penati dhidi ya JKT Queens, kinadada wa Yanga Princess leo watashuka dimbani dhidi ya Mashujaa Queens kuwaania nafasi ya tatu
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 6 mchana katika uwanja wa KMC Complex

ADVERTISE HERE