Mapema leo kikosi cha Yanga kiliumana na TRA United katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Gymkhana
Mchezo huo ambao haukuhudhuriwa na mashabiki, ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Yanga inaendelea na maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Silver Strikers ya Malawi ambao utapigwa Oktoba 18 ugenini na marudiano kupigwa Oktoba 25 jijini Dar es salaam








ADVERTISE HERE