Hii hapa ratiba ya Yanga Oktoba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2025
Hii hapa ratiba ya Yanga Oktoba

Kikosi cha Yanga kinaondoka mkoani Mbeya jioni ya leo kurejea Dar es salaam kuanza maandalizi ya mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya Silver Strikers ambapo mechi ya mkondo wa kwanza itapigwa Oktoba 18 na mechi ya marudiano kupigwa Oktoba 25

Mkufunzi wa Yanga Romain Folz atakuwa na takribani wiki mbili na siku kadhaa kukiweka sawa kikosi chake kabla ya kuelekea Malawi katika mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi

Hata hivyo Folz katika maandalizi hayo atawakosa takribani nyota 10 ambao wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa

Oktoba 29 Yanga itahitimisha mwezi Oktoba kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’