Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa ameikabidhi Yanga kitita cha Tsh Milioni 10 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wiliete Sc katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Ni bonasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan ambapo kila goli lina thamani ya Tsh Milioni 5
Yanga imevuna jumla ya Tsh Milioni 25 katika hatua ya awali pekee ikiwa ni ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Wiliete SC




ADVERTISE HERE