Katika mkakati wa kupambana na jezi fezi, Yanga imezindua toleo maalum la jezi ambazo zimefanyiwa mabadiliko kidogo
Jezi hizo zinapatikana kwa bei ya rejareja ya Tsh 40,000/- Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam











ADVERTISE HERE