Boyeli kuiwahi Pamba Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2025
Boyeli kuiwahi Pamba Jiji

Mshambuliaji wa Yanga Andy Boyeli hajaonekana kikosini katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Simba na Wiliete Sc

Boyeli aliumia katika mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, sababu iliyopelekea kukosekana katika mechi hizo

Habari njema ni kuwa Mcongomani huyo ameendelea kuimarika na pengine huenda Wananchi wakamshuhudia katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu ambao utapigwa Jumatano, Septemba 24

Wananchi wataanza msimu 2025/26 kwa mechi dhidi ya Pamba Jiji ambayo itapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

Prince Dube na Boyeli ndio washambuliaji viongozi katika kikosi cha Yanga msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’