Yanga imethibitisha kuuza tiketi zote za Tamasha la kilele cha Wiki ya Mwananchi linalofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa leo
Wanasema Wananchi hawana jambo dogo! Mapema tu wameanza kumiminika dimba la Mkapa mageti yakifunguliwa tangu saa 4 asubuhi
Kutakuwa burudani za kila aina leo kabla ya utambulisho wa kikosi majira ya saa 11 jioni na kuhitimishwa kwa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Bandari Fc





ADVERTISE HERE