Stars kuikabili Congo leo kufuzu kombe la Dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2025
Stars kuikabili Congo leo kufuzu kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo majira ya saa 1 usiku itakuwa uwanjani kumenyana na Congo Brazzaville katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2026

Mechi hiyo ya kundi E, itapigwa katika uwanja wa Alphonse Massamba-Debat, Brazzaville

Tanzania inashika nafasi ya pili kundi E ikiwa na alama 9 nyuma ya Morocco inayoongoza kundi ikiwa na alama 15

Morocco wanapewa nafasi ya kufuzu moja kwa moja kutoka kundi E lakini pia kuna nafasi ya kufuzu kupitia play-off

Afrika ina nafasi 9 ambapo vinara wa kila kundi watafuzu moja kwa moja huku timu nne zitakzofanya vyema zaidi katika nafasi ya pili zitaingia katika kinyan'ganyiro cha kusaka nafasi moja ya kufuzu kupitia play-off

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’