Mpaka sasa tiketi za VIP A zimekwisha! Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani Wananchi wanaitaka Mwananch Day itakayofanyika Septemba 12 pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Leo Yanga itazindua rasmi hamasa ya Wiki ya Mwananchi ambapo utaratibu wa kujipatia tiketi umerahisishwa
Licha ya kuweza kukata tiketi mtandaoni na vituo vilivyoainishwa, kutakuwa na maeneo maalum ambayo tiketi za Mwananchi Day zitapatikana
Aidha kwa wale watakaofika Mbagala Zakhiem kwenye uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi leo, wataweza kujipatia tiketi zao

ADVERTISE HERE