Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC 2025/26 inaanza rasmi Septemba 17 siku moja baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga watacheza mechi ya kwanza Septemba 24 dhidi ya Pamba Jiji mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Aidha msimu huu Yanga imechagua kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kama uwanja wake wa nyumbani
Hizi hapa mechi tano za mwanzo;
- Pamba Jiji (Sept 24) - Benjamin Mkapa
- Mbeya City (Sept 30) - Sokoine
- Mtibwa Sugar (Oct 29) - Benjamin Mkapa
- Tanzania Prisons (Nov 1) - Sokoine
- KMC (Nov 4) - Benjamin Mkapa
Aidha mechi ya kwanza ya dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itapigwa Disemba 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa










ADVERTISE HERE