Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji jijini Dar es salaam
Kikao hicho kilikuwa maalum kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya Yanga pamoja na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika tarehe 07/09/2025











ADVERTISE HERE