Viungo wa Yanga Moussa Balla Conte na Duke Abuya wamejumuishwa katika vikosi vya timu za Mataifa yao kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2026

Conte amejumuishwa katika kikosi cha Guinea huku Abuya akiwa mchezaji pekee kutoka ligi ya Tanzania Bara aliyeitwa Kenya
Nyota zaidi wa Yanga wanatarajiwa kujumuishwa katika timu za Taifa. Miongoni mwao ni mlinda lango Djigui Diarra (Mali) na Prince Dube (Zimbabwe)
Lakini pia Dickson Job, Ibrahim Bacca, Mohammed Hussein, Mudathir Yahya na Clement Mzize ambao walikuwa kikosi cha Stars kilichoshiriki michuano ya CHAN 2024, wanatarajiwa kujumuishwa kikosi cha kufuzu kombe la Dania Tanzania ikitarajiwa kuchuana na Niger, Septemba 09
ADVERTISE HERE