Klabu ya Yanga leo saa 6 mchana itazindu rasmi jezi zake zitakazotumika msimu wa 2025/26
Baada ya uzinduzi jezi zitapatikana duka rasmi la klabu, Jangwani na kwenye maduka ya GSM. Bei ya rejareja ni Tsh 45,000/- tu
Akizungumza na Wanahabari jana, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe alisema watatumia utaratibu tofauti wa uzinduzi akiwataka Wananchi kukaa karibu na kurasa rasmi za klabu kwenye mitandao ya kijamii

ADVERTISE HERE