Aucho kuungana na Gamondi Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Aug 2025
Aucho kuungana na Gamondi Singida BS

Klabu ya Singida Black Stars inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo Khalid Aucho raia wa Uganda. Aucho amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia matajiri hao wa Singida

Baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu minne ya mafanikio, Aucho anakwenda kuungana na Miguel Gamondi ambaye pia aliifundisha Yanga kwa msimu mmoja na nusu kabla ya kupewa mkono wa kwaheri

Yanga imeachana na Aucho vyema huku nyota huyo akipewa tuzo maalum kutambua mchango wake

Mwenyewe mara kadhaa amesema atabaki kuwa Mwanafamilia wa Yanga na kuna wakati alikuwa akifikiria kutocheza timu yoyote Tanzania baada ya kuondoka Yanga

Kila la kheri Daktari wa mpira...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’