Yanga ni nyumba ya makombe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2025
Yanga ni nyumba ya makombe

Msimu uliopita Yanga ilianza kwa kubeba taji la Toyota Super Cup ikiichapa Kaizer Chiefs mabao 4-0 nchini Afrika Kusini

Msimu huu Rayon Sports nao wakajichanya kwa kuialika Yanga kwenye Rayon Sports Day na zaidi wakaweka kombe mezani

Wananchi 'wamepita' na kombe hilo wakirejea kile walichofanya Afrika Kusini msimu uliopita baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1

Nyota wapya wa Yanga wameanza vyema maisha yao katika klabu kubwa zaidi nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
30m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’