Rayon Sports vs Yanga mbashara Azam TV

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2025
Rayon Sports vs Yanga mbashara Azam TV

Azam Media wamethibitisha wataonyesha mbashara mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Rayon Sports dhidi ya Yanga ambao utapigwa leo katika uwanja wa Amahoro

Mtanange huo utakuwa hewani kuanzia saa 1 usiku katika chaneli ya michezo namba 4 (Azam Sports 4 HD)

Leo kwa mara ya kwanza, mashabiki wa Yanga watawashuhudia nyota wao wapya katika mchezo huo

Mkufunzi wa Yanga Romain Folz anatarajiwa kuwapa nafasi wachezaji wengi katika mchezo huo ambao amesema ni sehemu ya mwendelezo wa pre-season kwa kikosi chake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’