Jana usiku kikosi cha Yanga kiliwasili Rwanda kuelekea mchezo wa Kimataifa wa kirafiki Rayon Sports ambao utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa Amahoro
Leo Wananchi watapata nafasi ya kukamilisha maandalizi yao katika dimba la Amahoro




ADVERTISE HERE