Kwa mujibu wa Shirikisho la takwimu Duniani (IFFHS) mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wameendelea kusalia ndani ya klabu 10 bora zilizofanya vyema barani Afrika katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita
Takwimu zinazoishia mwezi Julai 2025, Yanga inashika nafasi ya 9 ikikusanya alama 115 huku watani zao Simba wakishika nafasi ya 10 wakikusanya alama 114
Pyramids Fc, mabingwa wa CAF CL msimu uliopita wanaongoza orodha hiyo wakifuatiwa na klabu za Al Ahly na RS Berkane
![]()
ADVERTISE HERE