Yanga yajipima na kikosi cha U20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2025
Yanga yajipima na kikosi cha U20

Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz anaendelea kukiandaa kikosi chake kabla ya kuelekea Rwanda kuikabili Rayon Sports katika mchezo wa kusherehesh Tamasha la Rayon Day litakalofanyika August 15 dimba la Amahoro

Yanga inaendelea na maandalizi yake katika uwanja wa KMC Complex ambapo leo Folz aliwapima vijana wake kwa mechi ya kirafiki dhidi ya kikosi cha U20

Nyota wapya Andy Boyeli, Offen Chikola, Ecua Celestin na Lassine Kouma walifunga mabao katika mchezo huo ambao Yanga iliwachapa wadogo zao mabao 4-0

Yanga itaendelea kujifua kwa takribani siku tatu kabla ya kuelekea Rwanda siku ya Jumatano, August 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’