Msimu mwingine wa mapambano ligi ya mabingwa umewadia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2025
Msimu mwingine wa mapambano ligi ya mabingwa umewadia

Katika msimamo wa klabu uliotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kuelekea droo ya hatua ya awali ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho, Yanga iko nafasi ya 12 ikiwa na alama 34 sawa na Al Hilal ya Sudan

Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wataanzia hatua ya awali dhidi ya timu ambazo ziko katika ranking ya chini. Droo ya mechi za hatua ya awali itafanyika kesho Jumamosi

Msimu huu ni timu mbili tu ambazo hazitacheza hatua ya awali kwenye ligi ya mabingwa ambazo ni Al Ahly na Mamelodi Sundowns pekee

Hivyo Yanga na Simba, wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa wote wataanzia hatua ya awali

Endapo Yanga itafanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya mechi nne za hatua ya awali na raundi ya kwanza, itakuwa na uhakika wa kukaa katika poti namba 2 kwnye droo ya makundi

Yanga, Pyramids, Al Hilal na Simba zote zinaweza kuwa poti namba 2 kama zitapenya hatua ya makundi

Al Ahly, Mamelodi Sundowns, Esperance na RS Berkane zinaweza kukutana poti namba 1 kama zitafuzu hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’