Hersi aishukuru Haier kuendelea kushirikiana na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2025
Hersi aishukuru Haier kuendelea kushirikiana na Yanga

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameishukuru kampuni ya Haier kwa kuendeleza ushirikiano wake na klabu ya Yanga ambao umekuwa chachu ya mafanikio kwa mabingwa hao wa soka Tanzania Bara

Akizungumza katika hafla ya kutia saini mkataba mpya wa udhamini leo, Hersi alisema Haier imekuwa sehemu ya mafanikio ya Yanga tangu walipoingia makubaliano ya udhamini miaka miwili iliyopita katika michuano ya kombe la Shirikisho ambapo Yanga ilifika hatua ya fainali

Hersi amesema mkataba huo mpya wa miaka mitatu, unaimarisha Yanga kiuchumi na utaongeza chachu zaidi kwa Yanga kuendelea kufanya vyema

"Leo ni moja ya siku ya kihistoria kwa Klabu yetu. Leo tunatangaza kuongeza mahusiano na Haier Tanzania, hii ni taarifa njema sana kwa Klabu yetu kwenye uimara wa kiuchumi wa timu yetu. Mkataba wa awali ulikuwa mzuri sana. Tulifanya vyema sana kwenye mashindano ya shirikisho ambapo tulifika fainali"

β€œUhusiano wa Haier na Yanga ulikuwa na Baraka kubwa. Ni matumaini yetu kuwa mkataba huu mpya utakuja na mafanikio zaidi. Msimu wa kwanza na Haier tulifika fainali ya Shirikisho Afrika. Mkataba huu utakuwa wa miaka mitatu mpaka mwaka 2028"

"Nembo za Haier zitakaa mkono wa kushoto kwenye mashindano ya ligi. Mkataba huu utakuwa na thamani ya Tsh bilion 3.3," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’