Kibwana, Nkane wamerudi kwenye soka sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2025
Kibwana, Nkane wamerudi kwenye soka sasa

Nyota wa Yanga Kibwana Shomari na Denis Nkane wako tayari kurejea katika majukumu yao baada ya kushiriki pambano la ndondi mwishoni mwa wiki

Kibwana na Nkane 'walidundana' katika pambano hilo lililodumu kwa raundi moja, majaji kuamua pambano hilo ni sare

Wawili hao sasa wanarejea katika majukumu yao ndani ya klabu ya Yanga baada ya kupewa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao katika michezo mingine

Yanga inatarajiwa kuanza maandalizi ya msimu mpya August 1, mazoezi yakitarajiwa kuanzia Avic Town

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’