Happy Birthday Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2025
Happy Birthday Hersi

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA), Injinia Hersi Said.

Muite muongoza njia wa Wananchi, Rais wa makombe na pia unaweza kumuita 'Game Changer'

Chini ya uongozi wake Yanga imeshinda kila taji la ndani, amehakikisha klabu nyingine 'zinakosa pumzi' mbele ya Wananchi

Wanayanga wana kila sababu ya kujivunia Injinia Hersi kwani furaha hii ambayo Wananchi wanaendelea kuwa nayo, amehusika kwa kiasi kikubwa katika ngazi ya uongozi

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY HERSI...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’