Kibwana, Nkane wanazichapa aisee..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2025
Kibwana, Nkane wanazichapa aisee..

Nyota wa Yanga Kibwana Shomari na Denis Nkane kesho Jumamosi watakuwa na nafasi ya kuonyesha vipaji vyao vinginge nje ya soka pale watakaposhiriki pambano maalum la masumbwi

Ni katika Dar Derby ambapo nyota hao watazichapa katika pambano linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wao

Uongozi wa Yanga umewapa baraka zote vijana hao ikiwa ni wao wenyewe waliomba kushiriki ili wapate nafasi ya kuonyesha vipaji vingine walivyojaaliwa

Leo ilikuwa siku ya kuhitimisha maandalizi ya pambano lao ambalo litakuwa sambamba na mapambano mengine..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’