Mkude kuibukia Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2025
Mkude kuibukia Singida BS

Kiungo Jonas Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliomaliza mikataba katika kikosi cha Yanga na huenda msimu ujao asiwe sehemu ya kikosi cha Wananchi

Taarifa kutoka duru za usajili ni kuwa Mkude yuko kwenye mazungumzo na klabu ya Singida Black Stars ili kujiunga nayo

Inaelezwa Kocha Mkuu wa Singida Black Stars Miguel Gamondi amependekeza Mkude aongezwe katika kikosi chake ambacho msimu ujao kitaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la CAF

Mkude alifanya kazi na Gamondi katika kikosi cha Yanga na alipata nafasi zaidi ya kucheza wakati kocha huyo alipokuwa akihudumu Yanga

Lakini tangu alipoondoka Gamondi, nafasi ya Mkude ilikuwa finyu chini ya makocha waliofuata yaani Sead Ramovic na Miloud Hamdi

Mkude amedumu katika kikosi cha Yanga kwa misimu miwili akijiunga nao kutoka klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’