Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua ameonyesha nyumba yake aliyojenga nchini kwao Ivory Coast
Pacome yuko Ivory Coast kwa ajili ya mapumziko baada ya kukamilika kwa msimu wa ligi 2024/25
Kabla hajaondoka nchini, Pacome aliongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia Wananchi
Sasa ameonyesha mjengo wake baada ya kuhitimisha msimu wa mafanikio akiwa na Yanga


ADVERTISE HERE