Ni rasmi, Yanga imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji kutoka klabu ya CS Sfaxien, Moussa Balla Conte (21)
Conte amepewa mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa nchi
Aliwasili nchini Alfajiri ya leo akitokea Tunisia na kupokewa na uongozi wa Yanga na kufishwa moja ya hotel maarufu jijini Dar es salaam kabla ya utambulisho wake akiwa na Rais wa Yanga Injini Hersi Said
Hili ni pigo kwao wale wote waliokuwa wakizusha kuwa Conte amegoma kutua Yanga eti anaipenda Simba
USAJILI HUU UMEWAUMAAAA....
ADVERTISE HERE