Klabu ya Rayon Sports ikiongozwa na Rais wa klabu Twagirayezu Thaddée kutoka nchini Rwanda wamefanya ziara kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Yanga jijini Dar es salaam
Rayon imekuja kujifunza mambo mbalimbali kwenye mfumo wa Uendeshaji wa klabu 'Transformation'









ADVERTISE HERE