Nyota wa Yanga Kibwana Shomari na Denis Nkane waliomba apatikane mdhamini wa pambano lao ili wazichape VITASA
Sasa inaonekana Mdhamini amepatikana na 'Wafupi Media' hao wako tayari kuzichapa...!
Mara kwaΒ mara pale viunga vya Avic Town Kibwana alisikika akitamba kuwa anahitaji pambano kuonyeshana kazi na Nkane
Nje ya majukumu yao katika klabu ya Yanga, wawili hao ni marafiki na watani...!
Mpambano ni Julai 26 Leaders Club jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE