Pacome, Hamdi wafunga msimu na tuzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2025
Pacome, Hamdi wafunga msimu na tuzo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu kwa mwezi Juni 2025 akiwashinda Clatous Chama na Kibu Denis

Pacome ametwaa tuzo hiyo baada ya kuhusika kwenye mabao manne katika mechi tatu alizocheza mwezi Juni akifunga matatu na kutoa pasi moja ya bao

Aidha Kocha Miloud Hamdi ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Juni akiwashinda Rachid Taoussi wa Azam Fc na Fred Felix wa Pamba Jiji

Hamdi aliiongoza Yanga kushinda mechi tatu zilizochezwa Juni Yanga ikifunga mabao 12 pasipo kuruhusu bao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’