Musonda awaaga mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2025
Musonda awaaga mashabiki Yanga

Mshambuliaji Kennedy Musonda raia wa Zambia amewaaga mashabiki na wanachama wa Yanga baada ya miaka miwili na nusu ya kuwatumikia Wananchi

Mkataba wa Musonda umefika tamati ambapo katika misimu miwili na nusu ametwaa mataji matatu ya Ligi na Kombe la FA pamoja Ngao ya Jamii mara mbili

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Instagram ameandika ujumbe wa kutoa shukrani na kuwaaga mashabiki

"Wananchi, sijui niseme nini? Mmekuwa bora kwangu, kwa familia yangu na kwa ndoto yangu. Asante kwa kucheka na mimi, kuota na mimi, kushinda na mimi, na pia kulia na mimi"

"Mtu fulani alisema kila hadithi nzuri lazima ikome, milele ntashukuru naondoka naenda kujaribu maisha sehemu nyingine," aliandika

Akiwa Yanga, Musonda ameifungia mabao 34 na kutoa asisti 13 na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho na robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’