Mkude, Andabwile wamaliza mikataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2025
Mkude, Andabwile wamaliza mikataba Yanga

Kiungo mkongwe Jonas Mkude na Aziz Andabwile wamemaliza mikataba yao kunako klabu ya Yanga huku mabingwa hao wa kihistoria wakiwa hawajafanya mazungumzo nao kuwaongezea mikataba

Mkude aliyeitumikia Yanga kwa misimu miwili akitokea klabu ya Simba, amekuwa na nafasi finyu katika kikosi cha kwanza

Andabwile alitua Yanga kwa mkopo wa msimu mzima akitokea klabu ya Singida Fountain Gate (sasa Fountain Gate) na huenda akarejea kunako klabu hiyo

Katika kuimarisha eneo hilo la kiungo wa ukabaji, Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa AbdulNassir Mohamed (20) kutoka timu ya Mlandege ya Zanzibar

Pia Wananchi wamemsajili mchezaji mwingine kiraka kinda Aboubakar Nidhar Othman 'Ninju' (17) aliyekuwa anakipiga kwa mkopo katika klabu ya JKU ya Zanzibar akitokea timu ya vijana ya Azam FC

Ni wazi usajili wa vijana hao unalenga mipango ya muda mrefu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’