Uwanja wa Yanga ni suala la muda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jul 2025
Uwanja wa Yanga ni suala la muda

Yanga jana ilihitimisha msimu kibabe kwa kufanya paredi ya aina yake kusherehekea mataji matano waliyokusanya msimu uliomalizika

Mwishoni mwa sherehe hizo, Wananchi wakapokea habari njema kutoka kwa Rais wa klabu Injinia Herrsi Said juu ya mipango ya kujenga uwanja pale Jangwani

Yanga ilimuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan kuwaongezea eneo ili kujenga uwanja mkubwa utakaoweza kuchukua mashabiki kuanzia 20,000

Hersi alithibitisha kukubaliwa kwa ombi hilo ambapo klabu imeongezewa eneo kwa ajili ya Ujenzi wa uwanja huo pembezoni mwa Makao Makuu ya klabu, Jangwani 

Hersi alibainisha kuwa ujenzi wa uwanja unatarajiwa kuanza miezi michache ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’