Msanii Mbosso Khan atakuwepo Makao Makuu ya Yanga, Jangwani kuwapa burudani Wananchi katika siku hii ya kufurahia mafanikio ya msimu 2024/25
Paredi la ubingwa linaanzia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 na litahitimishwa pale Jangwani kwa burudani kutoka kwa Mbosso na wasanii wengine kama Dulla Makabila, Meja Kunta na wengine wengi..

ADVERTISE HERE