Supu ya Ngamia Jangwani leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2025
Supu ya Ngamia Jangwani leo

Mwananchi wa Dar pale Makao Makuu ya Yanga, Jangwani leo kuna tukio la aina yake! Ni ule ule utaratibu wa kunywa supu baada ya kuchinja Mnyama!

Safari hii sio supu ya ng'ombe, ni Ngamia, shukrani kwa Mdhamini/Mfadhili wa Yanga GSM ambaye amewezesha tukio hilo

Ni wasaa wa Wananchi kufurahi pamoja baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wa ligi kuu, kushukuru na kuiombea timu iweze kumaliza vyema msimu kwa kutetea taji la CRDB siku ya Jumapili

Utamaduni huu wa Wananchi kunywa supu uliasisiwa miaka mitatu iliyopita na sasa ni sehemu ya maisha ya Wananchi

Fika Makao Makuu ya Yanga upate supu ya Ngamia...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’