Mnamkumbuka winga Andrey Coutinho ambaye aliletwa na kocha wa zamani wa Stars na baadae Yanga Marcio Maximo?
Coutinho kwa sasa anacheza soka nchini Libya na bado ana ndoto za kuja kuitumikia Yanga wakati mwingine!
Wakati wa Maximo Yanga ilisajili WaBrazil watatu Jaja, Oliveira na Coutinho.
Jaja na Oliveira waliondoka mapema baada ya Maximo kuonyeshwa mlango wa kutokea wakati Countinho akiondoka msimu mmoja baadae.
Wakati huo Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuph Manji ilikuwa na 'jeuri' ya fedha, iliweza kumsajili mchezaji yeyote iliyemtaka awe ndani au nje ya Afrika!

ADVERTISE HERE