Yanga yajifua Mbeya kabla ya kurejea Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2025
Yanga yajifua Mbeya kabla ya kurejea Dar

Baada ya kubeba alama zote tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons hapo jana kwa ushindi wa mabao 5-0, kikosi cha Yanga mapema leo kimefanya mazoezi ya 'recovery' kabla ya kuanza safari ya kurejea Dar

Mchezo unaofuata dhidi ya Dodoma Jiji utapigwa Jumapili, Juni 22 dimba la New Amaan Complex hivyo Wananchi wanarejea Dar na kisha kuelekea Zanzibar tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’