Mapema leo, uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Idara ya Wanachama umekutana na Viongozi wa Matawi mbalimbali Jijini Mbeya na kujadiliana mambo ya maendeleo ya klabu.
Kikao hicho kiliongozwa na Mjumbe wa Kamati ya utendaji Rodgers Gumbo chini ya Mtendaji Mkuu Andre Mtine , Mkugenzi wa Wanachama na Masoko Ibrahim Samwel na Meneja Habari na Mawasiliano Ali Kamwe
Yanga iko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Sokoine














ADVERTISE HERE