Yanga yawasili Mbeya kuikabili Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2025
Yanga yawasili Mbeya kuikabili Tanzania Prisons

Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama mkoani Mbeya kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Jumatano, Juni 18 Yanga itakuwa mgeni wa Prisons katika mchezo ambao utapigwa dimba la Sokoine

Mabingwa hao wa nchi wametua Mbeya jioni hii kwa kutumia usafiri wa Air Tanzania

Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema ni wachezaji wawili tu ambao hawakusafiri mkoani Mbeya kutokana na changamoto za majeruhi 

Kikosi kilichotua Mbeya kimewajumuisha walinda lango; Djigui Diarra, Abuutwalib Mshery na Khomeiny Aboubakar, huku mabeki wakiwa ni; Nickson Kibabage, Kibwana Shomari, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca na Chadrack Boka, wakati viungo ni Maxi Nzengeli, Khalid Aucho, Pacome Zouzoua, Mudathir Yahya, Aziz Andambwile, Salum Abubakar na Duke Abuya.

Wengine ni Clatous Chama, Jonas Mkude na Denis Nkane, ilihali washambuliaji ni Clement Mzize na Prince Dube na wachezaji kutoka timu ya vijana.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’