Hersi kushiriki uzinduzi wa Kombe la Dunia la klabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2025
Hersi kushiriki uzinduzi wa Kombe la Dunia la klabu

Rais wa klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA), Eng. Hersi Said, yupo nchini Marekani kwa ajili ya kushiriki sherehe za uzinduzi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu, yatakayozinduliwa rasmi kesho.

Eng. Hersi anahudhuria hafla hiyo kama kiongozi mkuu wa vilabu vya Afrika, na atakuwa mstari wa mbele kuviongoza vilabu vinne vinavyoiwakilisha Afrika katika mashindano hayo makubwa.

Vilabu hivyo ni Wydad Casablanca (Morocco), Al Ahly (Misri), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), na Esperance de Tunis (Tunisia).

Ushiriki wa Eng. Hersi katika tukio hili kubwa unaendelea kuonyesha nafasi ya juu inayochukuliwa na viongozi wa soka wa Afrika katika jukwaa la kimataifa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
28m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
36m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’