Hersi ahitimu Kozi Harvard

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
13 Jun 2025
Hersi ahitimu Kozi Harvard

Rais wa Yanga Sc, Mhandisi Hersi Said, amehitimu kozi fupi ya masuala ya biashara ya burudani, habari na michezo katika Shule ya Biashara ya Harvard, moja kati ya taasisi za elimu ya juu zenye hadhi kubwa duniani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Eng. Hersi aliandika kwa fahari:

"Nina furaha kutangaza kukamilika kwa kozi yangu ya Uongozi katika moja ya shule bora zaidi za biashara duniani — HARVARD!
Uzoefu huu ulikuwa wa kipekee; maarifa niliyopata na uhusiano nilioujenga na watu mahiri kutoka nyanja mbalimbali ni wa thamani kubwa sana."

Kukamika kwa kozi hiyi ni hatua muhimu kwa Hersi  ambaye ameonyesha kuwa uongozi bora hujengwa pia kwa kuendelea kujifunza.

Kupitia kozi hiyo, Hersi amepata nafasi ya kujifunza mbinu bora za kimataifa, kutengeneza mtandao mpana wa watu wenye ujuzi kutoka kote ulimwenguni, na kuimarisha zaidi uwezo wake kama kiongozi wa taasisi kubwa kama Yanga SC.

Sasa anarejea nchini kuendeleza mapambano ya Yanga katika kuuweka mpira wa Tanzania kwenye mikono salama 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
34m ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
59m ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →