TPLB yaomba kukutana na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2025
TPLB yaomba kukutana na Yanga

Wakati wiki moja ikiwa imebaki kuelekea Juni 15 tarehe ambayo Bodi ya ligi (TPLB) imepanga mchezo namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, mpaka sasa Yanga kama mwenyeji wa mchezo huo haijafanya maandalizi yoyote kwa kuwa haitashiriki mchezo huo

Msimamo huo umepelekea Bodi ya ligi kuandika barua kwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ili kifanyike kikao cha pamoja kujadili mchezo huo

Taarifa za ndani ya uongozi zimethibitisha maombi ya kikao hicho kutoka kwa TPLB ambacho kimepangwa kufanyika Jumatatu Juni 9 saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Bodi ya ligi,uliopo Ilala Dar es Salaam

Hata hivyo Injinia Hersi yuko Marekani akihudhuria mafunzo maalum katika Shule ya biashara ya Havard

Hakuna kiongozi wa Yanga aliyekuwa tayari kuzungumzia hatma ya ushiriki wa Yanga katika kikao hicho

Yanga imeweka msimamo wa kutoshiriki mchezo huo hadi pale malalamiko yake ya March 09 yajibiwe ama bodi iwajibike

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’