Job, Bacca, Shekhan waitwa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2025
Job, Bacca, Shekhan waitwa Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Hemed Morocco ametaja kikosi cha timu ya Taifa kitakachoelekea Afrika Kusini kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Bafana Bafana mchezo ambao uko katika kalenda ya FIFA

Aidha Stars imepata mwaliko wa kushiriki michuano ya COSAFA inayohusisha Mataifa ya kusini mwa Afrika

Wachezaji watatu wa Yanga mabeki Ibrahim Bacca na Dickson Job wamejumuishwa katika kikosi hicho sambamba na kiungo mshambuliaji Shekhan Khamis

Morocco amesema wachezaji wanaozitumikia klabu za Yanga na Simba watarejea nchini baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini utakaopigwa Juni 06

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’