FT : Yanga 2-3 Singida Black Stars, mechi ya kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2025
FT : Yanga 2-3 Singida Black Stars, mechi ya kirafiki

Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa KMC Complex umemalizika kwa Singida BS kuibuka na ushindi wa mabao 3-2

Denis Nkane na Prince Dube walifunga mabao ya Yanga huku Jonathan Sowah, Arthur Bada na Elvis Rupia wakifunga mabao ya Singida BS

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi za kuhitimisha msimu

Yanga ina mwezi mzima kusubiri mchezo unaofuata dhidi ys Tanzania Prisons Juni 18 wakati Singida BS inakabiliwa na mechi mbili mwezi huu dhidi ya Simba May 28 na May 31

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’