Usiku wa tuzo Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2025
Usiku wa tuzo Yanga Princess

Beki wa kati wa Yanga Princess Uzoamaka Confidence Igwe ameibuka kuwa mchezaji bora wa msimu wa Yanga Princess 2024/25

Usiku wa jana Yanga iliandaa hafla ya kuwatuza wachezaji wa Yanga Princess waliofanya vyema msimu huu wa ligi ya Wanawake ambao ulifikia tamati juzi kwa Yanga Princess kumaliza katika nafasi ya tatu

Uzoamaka raia wa Nigeria amekuwa na msimu bora katika kikosi cha Yanga Princess akiongoza safu ya ulinzi

Tuzo maalum ya heshima ilikwenda kwa Aisha Masaka, mshambuliaji wa zamani wa Yanga Princess ambaye  kwa sasa anachezea kunako klabu ya Brighton ambayo inashiriki ligi kuu soka Nchini Uingereza

Jeanine Mukandayisenga akatwaa tuzo ya ufungaji bora. Jeanine aliyetua Yanga Princess kwenye usajili wa dirisha, alipachika mabao 13 mabao 10 akiyafunga katika WPL

Angela Michael yeye akashinda tuzo maalum huku tuzo ya mchezaji mwenye nidhamu ikienda kwa Rrita Akarreko

Kalsa Aregash yeye aliondoka na tuzo ya goli bora la msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’