Kikosi cha Yanga kimewasili salama jijini Tanga kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumapili, May 18 katika uwanja wa Mkwakwani
Wananchi watakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi yao kabla ya mtanange huo ambao Yanga inasaka kucheza fainali kwa msimu wa tano mfululizo





ADVERTISE HERE