Kapteni Beka 'amewaka'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2025
Kapteni Beka 'amewaka'

Zipo nyakati ilionekana nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto kama ameshuka kiwango na kupelekea kupoteza nafasi yake katika kikosi cha kwanza

Lakini unaweza kusema mambo yanabadilika kwani Mwamnyeto ameendelea kudhihirisha haikuwa bahati mbaya kwake kusajiliwa Yanga miaka mitano iliyopita na moja kwa moja kupewa unahodha

Upo msemo kuwa mchezaji anaweza kupoteza 'form' kwa muda lakini sio ubora wake, pengne hilo ndilo lililomtokea Mwamnyeto

Jana katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc, Mwamnyeto alikuwa kinara katika safu ya ulinzi pengine kama sio bao na asisti kutoka kwa nyota wa mchezo Maxi Nzengeli, tuzo hiyo pengine angeibeba Mwamnyeto

Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi ameonyesha kumuamini Mwamnyeto tangu alipokabidhiwa majukumu ya kuinoa Yanga kutoka kwa Sead Ramovic

Katika michuano ya kombe ya Muungano iliyohitimishwa Pemba mapema mwezi huu na Yanga kutwaa ubingwa, Mwamnyeto alicheza dakika zote 270 katika safu ya ulinzi

Mwamnyeto ameendelea kujitengenezea nafasi ya kurejea katika kikosi cha timu ya Taifa kuekea michuano ya CHAN itakayofanyika mwezi Agosti hapa nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’